Wezamtima@...

Dar es salaam, Dodoma, Tanzania

Monday, October 28, 2019

RASILIMALI WATU

                 
                RASILIMALI WATU.

           Binadamu wote tunategemeana-
             kamwe hauwezi kufanikiwa-
                   bila kuwa na watu.


           Siku moja nilikuwa nasikiliza moja ya hotuba za baba wa taifa - mwalim- Julias Nyerere , nikamsikia akisema "ukimchukuwa mtu mmoja mwenye akili Sana na umpeleke katika kisiwa akaishi peke yake - mtu huyo hata pata maemdeleo yoyote".

Akaendelea kusema kuwa -maendeleo huletwa na watu na sio na mtu mmoja, ijapokuwa mtu mmoja anaweza kurudisha nyuma maendeleo yaliyotafutwa na watu wengi.

           Nisikutoe nje sana ya mada yetu (rasilimali watu) ,kwanza tujue maana ya rasilimali watu.

Rasilimali watu ni watu wote walioko chini ya umiliki,na usimamizi wako kwa unachokifanya.

Watu hawa wamegawanyika ktk makundi mawili nayo ni kama yafuatavyo:-

         1.  Watu wanaozalisha na kutoa-
               huduma.
        2.    Watu wanaopokea bidhaa au
               huduma.

Rasilimali watu ni moja ya rasilimali kuu ya
muhimu sana kwa wanahalakati wa mafa---
nikio,kwa maana binadamu tunategemea---
na katika kuyaendesha maisha.

Mafanikio yako yako mikononi mwa watu
ni namna gani unatengeneza miundombin
u za kuwashawishi watu wakuletee hicho-
unachokihitaji.

Amini ndugu - kila mtu unayemuona na usiye muona wote wameyabeba mafanikio yako wanasubiri utayari wako wakuletee
Mafanikio yako.

     MBINU ZA KIPEKEE ZA KUTENGENEZA
           RASILIMALI WATU YA KUDUMU.

           1:  aina ya wewe ulivyo.
Uwe wa aina fulani unavyotaka uwe kwa
watu na uishi hivyo,huku ukiwa sawa ----
Katika mizani -unapopimwa na watu ktk
dhana zifuatazo:-
                     *uaminifu
                     *busara
                     *hekima
                     *maono
                     *upendo.

          2:  kutatua changamoto za watu.
Dhumuni lako lisiwe ni kutafuta fedha ktk
dunia hii --fedha ni matokeo tu ya kutatua
kwa ufanisi changamoto za watu.

Matajiri wakubwa duniani ni wale wanao-
tatua shida za watu wengi sana ,kumbuka kiwango cha mafanikio kinategemea jinsi
watu wanavyokuitaji katika maisha yao.

            3:   Wajali watu.
Ishi na watu namna walivyo -bila kuwabagua kwa elimu zao,umaskin,utajiri
,rangi,au imani zao.kauli mbiu yako kila---
siku iwe ni jinsi gani unavyowaonea huduma watu wanavyoteseka na unafikilia
namna ya kuwasaidia.

           4:  Ubora wa ufanisi wa mifumo.
Tengeneza miundombinu rafiki kwa watu
bila kuwanyonya ,lakini wasaidie watu kwa
kupitia jasho lao,unachotoa -uwe umekwi--sha fikiria kitakavyorudi.

           5:  Maarifa.
Dunia inaenda kasi na mabadiliko ya kila
aina ya mitindo na mwingiliana wa --------
maarifa.jifunze ujuzi mpya na pia wafundishe wanaokufanyia kazi. wahudumiwa wako watataka utofauti na
mabadiliko.


        Sina la ziada ndugu msomaji -hongera
Sana kunifuatilia ,ila kizur kula na nduguyo
watu wanahangaika kwa kukosa maarifa na wanaona mafanikio ni kama miujiza tu.
Ebu waokoe kwa kuwaonesha blog hii.


         Anthony Elia Mwaka

kazi-mjasiliamali,mwandishi,muigizaji.

        Tel- no:- +255659594226
                       +255738651846

         Wezamtima@gmail.com

           www.wezamtima.com

     Kina cha fikra hakina ukomo.




No comments:

Post a Comment

UPANA WA ELIMU.

                        UPANA WA ELIMU.            Kila swali katika dunia hii,           linaweza kujibiwa kwa majibu-            ...